Kaunti

SENETA WA TANA RIVER AWASHINIKIZA WENYEJI KUJIHUSISHA NA KILIMO

Seneta wa Tana River, Danson Mungatana amewashinikiza wakaazi wa kaunti hiyo kujihusisha na kilimo wakati huu kunaposhuhudiwa mvua kwa minajili ya kuimarisha uzalishaji wa chakula. Akiongea na wanahabari, Mungatana amesema chakula kilichotolewa na serikali kuu hakitoshi na kwamba serikali inapanga kutatua swala la baa la njaa kwa kuweka fedha za kutosha kufanikisha kilimo nyunyizi Mungatana […]

SENETA WA TANA RIVER AWASHINIKIZA WENYEJI KUJIHUSISHA NA KILIMO Read More »

HIMIZO LATOLEWA KWA WENYEJI WA TANA RIVER KUPANDA MITI NA NYASI

Wakaazi wa Tana Delta kaunti ya Tana River wameshauriwa kupanda miti na nyasi kwa wingi wakati huu ambapo kumeanza kushuhudiwa mvua baada ya kipindi kirefu cha kiangazi. Mshirikishi wa shirika la NATURE KENYA George Odera amesema wakaazi wa Tana River walikua na wasiwasi wa kupoteza mifugo wao kutokana na ukosefu wa malisho na maji hali

HIMIZO LATOLEWA KWA WENYEJI WA TANA RIVER KUPANDA MITI NA NYASI Read More »

WANAOJIHUSISHA NA UWINDAJI HARAMU ENEO LA MPEKETONI WAONYWA

Msimamizi wa masuala ya wanyamapori kaunti ya Lamu Mathius Mwavita amewaonya vijana kwenye kaunti hiyo ambao wanajihusisha na uwindaji haramu wa wanyamapori. Mwavita amesema baadhi ya vijana eneo la Mpeketoni wamekuwa wakiwawinda wanyamapori na nyama kuuzwa katika masoko yaliyoko eneo hilo. Amewaonya wale ambao wananunua nyama ya wanyamapori akisema haijakaguliwa na idara husika kubaini iwapo

WANAOJIHUSISHA NA UWINDAJI HARAMU ENEO LA MPEKETONI WAONYWA Read More »