Kaunti

SENETA DANSON MUNGATANA AITAKA JUMUIYA YA KAUNTI ZA PWANI KUWEKEZA TANA RIVER

Seneta wa kaunti ya Tana River  Danson Mungatana ameitaka jumuiya ya kaunti za pwani kuwekeza pakubwa katika kaunti ya Tana River kama vile inavyowekeza katika kaunti zengine ukanda wa pwani. Akizumgumza mjini Hola kaunti ya Tana River kwenye kongamano la nne la uchumi wa raslimali za baharini (BLUE ECONOMY) Mungatana amesema kunapaswa kuwa na miradi […]

SENETA DANSON MUNGATANA AITAKA JUMUIYA YA KAUNTI ZA PWANI KUWEKEZA TANA RIVER Read More »

SERIKALI YA LAMU NA YA KITAIFA ZASHIRIKIANA KUPEANA CHAKULA CHA MSAADA

Sehemu nyingi nchini zinapoendelea kukabiliwa na makali ya njaa na ukame serikali ya kaunti ya Lamu ikishirikiana na serekali kuu zimeanzisha mpango wa kupeana na chakula cha msaada kwa familia elfu kumi na mbili katika kaunti ya Lamu. Kutokana na hali hiyo, Vijiji ambavyo vinavyolengwa ni pamoja na Bargoni, Basuba, Kiunga, Kiongwe, Lumshi, maisha Masha,

SERIKALI YA LAMU NA YA KITAIFA ZASHIRIKIANA KUPEANA CHAKULA CHA MSAADA Read More »