Kaunti

KONGAMANO LA KUJADILI UUNDAJI SERA ZINAZOLENGA KULETA USAWA WA KIJINSIA UNAENDELEA MOMBASA

Wajumbe kutoka mataifa ya Afrika Mashariki pamoja na Ethiopia wamekongama Mombasa kwa warsha ya kujadili uundaji sera zinazolenga kuleta usawa wa kijinsia miongoni mwa wasichana na wanawake. Warsha hiyo ya siku mbili inajumuisha mashirika ya kutetea haki za wanawake na kukomesha dhuluma dhidi ya wasichana. Mjumbe wa bunge la kaunti ya Mombasa Milcah Moraa Ngare […]

KONGAMANO LA KUJADILI UUNDAJI SERA ZINAZOLENGA KULETA USAWA WA KIJINSIA UNAENDELEA MOMBASA Read More »