Kaunti

JUMLA YA WANAFUNZI 109 KATIKA SHULE ZA UPILI KAUNTI YA KILIFI WANUFAIKA NA MASOMO YA DINI

Jumla ya wanafunzi 109 katika shule za upili kaunti ya Kilifi wamenufaika na masomo ya dini, katika kongamano la wanafunzi wa dini ya kikristo la Rafiki Wa Yesu Youth Camp, lililofanyika jana katika shule ya upili ya wavulana ya Gede, na kufadhiliwa na kituo cha habari cha Lulu fm. Kulingana na mwenyekiti wa kamati ya […]

JUMLA YA WANAFUNZI 109 KATIKA SHULE ZA UPILI KAUNTI YA KILIFI WANUFAIKA NA MASOMO YA DINI Read More »

VIONGOZI WASHAURIWA KUPIGA JEKI VILABU VYA MASHINANI

Ipo haja ya viongozi waliochaguliwa kuwakilisha sehemu mbalimbali katika mkoa huu wa pwani kuingilia kati michezo mashinani ili kuokoa vipaji ambavyo huenda vikawa manufaa kwa jamii katika siku za usoni. Hii ni kulingana na Peter Mole mkufunzi mkuu wa Beach Bay ambayo inashiriki katika ligi ya daraja la pili kitaifa na amekariri kwamba ukata wa

VIONGOZI WASHAURIWA KUPIGA JEKI VILABU VYA MASHINANI Read More »

BADI TWALIB ATAKA NAFASI ZA KAZI KUTOKA SERIKALI KUU KUPEWA KWANZA VIJANA WA JOMVU

Mbunge wa Jomvu kaunti ya Mombasa Badi Twalib anataka nafasi za ajira katika miradi mbalimbali kwenye serikali kuu zipatiwe kwanza vijana wa eneo bunge hilo. Kulingana na Twalib lazima vijana wa eneo bunge hilo wapewe kipaumbele kwenye masuala ya ajira ili waweze kujiendeleza kimaisha. Amesema miradi kama wa Dongo Kundu na wa Reli ya Kisasa

BADI TWALIB ATAKA NAFASI ZA KAZI KUTOKA SERIKALI KUU KUPEWA KWANZA VIJANA WA JOMVU Read More »