Kaunti

SHEIKH JUMA NGAO AITAKA SERIKALI KUINGILIA KATI NA KUTATUA LALAMA ZINAZOIBULIWA KUHUSU SGR

Mwenyekiti wa baraza kuu la ushauri kwa Waislamu nchini KEMNAC Sheikh Juma Ngao ametoa wito kwa serikali kuingilia kati madai kuwa abiria wanaokabiliwa na dharura na kushindwa kusafiri kuwa hawawezi kurudishiwa nauli zao na usimamizi wa shirika la reli ya kisasa la SGR. Sheikh Juma Ngao amesema baadhi ya abiria wamekuwa wakilalamikia hilo na kuitaja […]

SHEIKH JUMA NGAO AITAKA SERIKALI KUINGILIA KATI NA KUTATUA LALAMA ZINAZOIBULIWA KUHUSU SGR Read More »

KAUNTI YA LAMU INAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA KIFEDHA ZA KUFADHILI WANAFUNZI

Naibu gavana wa kaunti ya Lamu Raphael Munyua amesema serikali ya kaunti hiyo inakabiliwa na changamoto za kifedha za kufadhili wanafunzi katika kaunti hiyo. Munyua amesema changamoto hiyo imechangiwa na mabadiliko ya kalenda ya elimu nchini tangu mwaka wa 2020 wakati wa janga la Virusi vya Corona nchini. Aidha, amesema serikali ya kaunti ya Lamu

KAUNTI YA LAMU INAKABILIWA NA CHANGAMOTO ZA KIFEDHA ZA KUFADHILI WANAFUNZI Read More »

UKOSEFU WA AMBULENSI WAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA WADI YA ADU

Idadi kubwa ya wakaazi wa wadi ya ADU eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, wanaendelea kupitia changamoto kuu katika kutafuta matibabu ya dharura katika taasisi za afya zilizoko mbali na eneo hilo, kutokana na ukosefu Ambulensi. Haya ni kwa mujibu wa mwakailishi wadi hiyo Samson Zia, ambaye amesema baadhi ya wale wanaoumwa na nyoka

UKOSEFU WA AMBULENSI WAZIDI KUWAATHIRI WENYEJI WA WADI YA ADU Read More »