Kaunti

MUUNGANO WA WAVUVI ENEO LA MALINDI WAPENDEKEZA KUWEKEWA MATAA

Muungano wa wavuvi wa Mijikenda Fishermen Association katika eneo la Malindi kaunti ya Kilifi, umependekeza kuwekewa mataa katika baadhi ya barabara wanazozitumia kuingia baharini. Kulingana na Joseph Kaingu mmoja wa wavuvi hao, amesema ukosefu wa mataa katika baadhi ya sehemu hizo, kunahatarisha maisha ya wavuvi hao hasa nyakati za usiku, wakati wanapoendeleza shughuli zao kwenye […]

MUUNGANO WA WAVUVI ENEO LA MALINDI WAPENDEKEZA KUWEKEWA MATAA Read More »

VIJANA WENYE UMRI MDOGO KAUNTI YA MOMBASA WANAJIHUSISHA NA VISA VYA UHALIFU

Naibu Kamishna wa kaunti ya Mombasa Ronald Mwiwawi amesema vijana wadogo kwenye kaunti wamekuwa wakijihusisha na visa vya Uhalifu. Kulingana na Mwiwawi Kumechipuka magenge ya kihalifu ambayo yanawahusisha vijana wadogo katika kaunti hiyo hali ambayo amesema inawasababisha kuacha masomo. Amesema watoto hao ni wenye umri wa miaka 10 hadi 12 na kusema wanapaswa kuwa shuleni

VIJANA WENYE UMRI MDOGO KAUNTI YA MOMBASA WANAJIHUSISHA NA VISA VYA UHALIFU Read More »