WAZAZI KAUNTI YA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUWAPELEKA WATOTO WAO SHULENI
Wito umetolewa Kwa wazazi wote katika kaunti ya Taita Taveta hususan walio na watoto wanaojiunga na gredi ya Saba Kwa masomo ya sekondari msingi kuwapeleka shuleni. Haya ni Kwa mjibu wa mwenyeketi wa muungano wa wazazi Kaunti ya Taita Taveta Elius Mberi ambaye amesistiza Kuwa masomo hayo ni bure na kila mtoto nchini anapaswa kuhudhuria […]
WAZAZI KAUNTI YA TAITA TAVETA WAHIMIZWA KUWAPELEKA WATOTO WAO SHULENI Read More »



