Kaunti

AHMED KOMBO AHMED AELEZA KURIDHISHWA NA HATUA ZIMEPIGWA KUFANIKISHA MTAALA WA CBC

Naibu katibu wa muungano wa walimu KNUT tawi la Mombasa Ahmed Kombo Ahmed ameeleza kuridhishwa na hatua na mikakati iliyoko katika utekelezaji wa mtaala wa umilisi wa CBC hadi kufikia sasa tangu kuanzishwa nchini. Akizungumza na wanahabari Kombo amesema wazazi wanapaswa kuthamini mtaala huo na pia kujukumika katika kuwatimizia mahitaji mbalimbali ya watoto wao ili […]

AHMED KOMBO AHMED AELEZA KURIDHISHWA NA HATUA ZIMEPIGWA KUFANIKISHA MTAALA WA CBC Read More »

TUTALETA VIFAA VYA MICHEZO MASHINANI – JACINTA MBEYU

Rais wa bunge la vijana katika kaunti ya Kilifi Jacinta Mbeyu ametoa hakikisho kwamba bunge la kaunti hiyo linalenga kutengeneza klabu ya mpira ya kaunti ambayo itawakilisha kaunti nzima katika mashindano mbalimbali ya soka. Kulingana na Mbeyu ni kuwa wizara ya michezo pamoja na mkurugenzi mkuu wa michezo katika kaunti hii wameanza mchakato wakuwinda talanta

TUTALETA VIFAA VYA MICHEZO MASHINANI – JACINTA MBEYU Read More »

WAHALIFU WANAOWATATIZA WAHUDUMU WA BODABODA ENEO LA SHIMBA HILLS WAONYWA

Idara ya usalama eneo bunge la Shimba hills kaunti ya Kwale limewaonya wahalifu wanaotatiza  usalama wa wahudumu wa bodaboda katika baadhi ya maeneo ya eneo bunge Hilo hususan nyakati za usiku. Akizungumza akiwa eneo la Kizibe naibu kamishna wa eneo bunge hilo Moses Karwigi amesema asasi za usalama zinashika doria pia kuchunguza na kuwasaka wahalifu

WAHALIFU WANAOWATATIZA WAHUDUMU WA BODABODA ENEO LA SHIMBA HILLS WAONYWA Read More »