Kimataifa

REAL MADRID YAISHUSHIA BARCELONA KICHAPO CHA EL CLASICO

Klabu ya Real Madrid kule Uhispania iliitandika klabu ya Barcelona katika mtanange maarufu wa El clasico uliofanyika dimbani Santiago Barnebou uliotamatika kwa vijana na Carlo Ancelloti kuibuka na ushindi wa mabao 3-1. Bao la mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Karim Benzema, goli la Fede Valverde na lile la kinda wa Brazil Rodrigo katika […]

REAL MADRID YAISHUSHIA BARCELONA KICHAPO CHA EL CLASICO Read More »

ITALIA NA BRAZIL KUTANDIKANA KWENYE SEMI FAINALI ZA MPIRA WA WAVU

Mechi ya pili ya semi fainali za mashindano ya mpira wa wavu itakuwa inarindimwa hii leo katika taifa la Uholanzi majira ya saa mbili usiku. Ni mechi ambayo itakuwa inawakutanisha malkia wa brazil dhidi ya Italia ambapo mshindi kati yao atakuwa anakutana na Serbia katika fainali. Ikumbukwe Kenya ambayo ilikuwa inashiriki mashindano hayo ilitolewa katika

ITALIA NA BRAZIL KUTANDIKANA KWENYE SEMI FAINALI ZA MPIRA WA WAVU Read More »

MWANARIADHA WA UINGEREZA CJ UJAH APIGWA MARUFUKU YA MIEZI 22

Mwanariadha wa Uingereza mwite CJ Ujah amepigwa marufuku ya miezi 12 ya kutoshiriki mashindano yoyote kutokana na kupatikana na hatia ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Ujah mtimkaji ambaye amekiri kutumia dawa za Ostarine na S-23 marufuku hiyo sasa itamfanya kukosa mashindano ya olimpiki ya Paris yanayoandaliwa mwaka ujao 2023. Katika hukumu iliyotolewa na

MWANARIADHA WA UINGEREZA CJ UJAH APIGWA MARUFUKU YA MIEZI 22 Read More »