Mechi ya pili ya semi fainali za mashindano ya mpira wa wavu itakuwa inarindimwa hii leo katika taifa la Uholanzi majira ya saa mbili usiku.
Ni mechi ambayo itakuwa inawakutanisha malkia wa brazil dhidi ya Italia ambapo mshindi kati yao atakuwa anakutana na Serbia katika fainali.
Ikumbukwe Kenya ambayo ilikuwa inashiriki mashindano hayo ilitolewa katika hatua ya makundi baada ya kusajili ushindi mmoja pekee na ilikuwa dhidi ya mabingwa wa Afrika waite Camerron ambao wametwa ubingwa wa mashindano ya mpira wa wavu katika bara hili mara tatu mfululizo.

