GOR MAHIA YATAFUTA KOCHA MPYA
Klabu ya Gor Mahia sasa imeanza mchakato wa kutafuta mkufunzi mpya katika matayarisho ya mechi zijazo lakini pia msimu ujao ambapo watashiriki sana katika mashindano ya kimataifa ya CAF. Haya yanajiri baada ya mkufunzi wao wa sasa Johnnathan Mckinstry kusajiliwa kama mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya Gambia baada ya kuwanyakulia ubingwa wao wa […]
GOR MAHIA YATAFUTA KOCHA MPYA Read More »



