FODEN YWANG’AA MANCITY IKISHINDA LIGI
Mabao mawili ya mchezaji bora wa ligi kuu inchini Uingereza msimu huu Phil Foden na lile la kiungo wa uhispania Rodri ndio mabao yaliyotosha kuwapa ushindi wa mabao 3-1 Manchester City wanaoongozwa na mkufunzi Pep Guardiola dhidi ya Westham United katika uwanja wa Etihad. Ushindi huo pia uliwahakikishia ubingwa wa kombe la EPL jana, sasa […]
FODEN YWANG’AA MANCITY IKISHINDA LIGI Read More »



