BRUNO FERNANDES HAENDI POPOTE – AMORIM
Mkufunzi wa Klabu ya Manchester United Ruben Amorim, ameyakanusha Madai ya Kuwa Huenda Nahodha Wa Kikosi Chake Bruno Fernandes, akajiunga na Miamba wa Uhispania Real Madrid kwenye Majira Yajayo ya Joto. Fernandes Ambaye amekuwa Kwenye Ubora wake Msimu Huu, amecheka Na wavu mara Saba kwenye Mechi saba Zilizopita, Kiungo Huyo Wa Kireno akifunga magoli Kumi […]
BRUNO FERNANDES HAENDI POPOTE – AMORIM Read More »



