FKF YAAHIRISHA MAFUNZO YA UKOCHA
Shirikisho la Soka FKF, Limeahirisha Kwa Muda Mafunzo Yote ya Ukocha ya CAF Daraja ya D kote Nchini, hadi katikati ya mwezi wa Mei mwaka Huu. Katika Taarifa Iliyoelekezwa Kwa wenyeviti wa Matawi ya FKF, Mkurugenzi wa Maendeleo wa FKF Francis Kimanzi ameelezea Kuwa Hatua Hiyo, Inalenga Kuoanisha Mafunzo hayo na Viwango vipya vinavyoendelea Kubadilika, […]
FKF YAAHIRISHA MAFUNZO YA UKOCHA Read More »



