GOR MAHIA HAIKO FREEMASON RACHIER ANAJISEMEA MWENYEWE – SAM OCHOLA
Kamati kuu ya klabu ya Gor Mahia imetoa taarifa kwamba klabu hiyo haijihusishi na masuala ya Freemason kuanzia wachezaji na vitengo vyote vya Kogalo. Hii ni kulingana na katibu mkuu wa klabu hiyo Sam Ocholla ambaye amehoji kuwa suala la mwenye kiti Ambrose Rachier kusema kwamba yeye ni mmoja wa wa mafreemason ni jambo lake […]
GOR MAHIA HAIKO FREEMASON RACHIER ANAJISEMEA MWENYEWE – SAM OCHOLA Read More »



