ELIUD KIPCHOGE AVUNJA REKODI YAKE MWENYEWE BERLIN
Bingwa wa dunia katika mbio za masafa marefu, Eliud Kipchoge hapo aliweka rekodi mpya baada ya kukamilisha mbio za marathon za kilomita 42 ndani ya masaa 2.01.9 rekodi ambayo anajivunjia yeye mwenyewe rekodi aliyoiweka miaka minne iliyopita. Kipchoge mwenye umri wa miaka 37 sasa ndio bingwa wa dunia katika mbio za Berlin marathon akipungyuza sekunde […]
ELIUD KIPCHOGE AVUNJA REKODI YAKE MWENYEWE BERLIN Read More »



