Michezo

KDF WAMPANDISHA JEPKOSGEI CHEO KUTOKANA NA MATOKEO MAZURI KWENYE LONDON MARATHON

Uongozi wa vikosi vya usalama nchini Kenya maarufu kama KDF umempandisha cheo koplo Joyciline Jepkosgei hadi cheo cha usajenti kutokana na ufanisi wake katika mashindano ya London Marathon ambako alimaliza katika nafasi ya pili. Sherehe hiyo imefanyika katika makao makuu ya KDF ikiongozwa na mkuu wa majeshi Robert Kibochi lakini pia kiongozi wa masuala ya […]

KDF WAMPANDISHA JEPKOSGEI CHEO KUTOKANA NA MATOKEO MAZURI KWENYE LONDON MARATHON Read More »

WANYAMA ANALENGA KUACHANA NA MONTREAL MWISHONI MWA MSIMU HUU

Nyota wa zamani wa timu ya taifa Harambe Stars lakini pia klabu ya Totenham Hotspurs mwite Victor Mugubi Wanyama sasa analenga kuachana na klabu yake ya sasa Montreal Mwishoni mwa msimu huu. Wanyama ambaye mkataba wake na Montreal unatamatika mwishoni mwa msimu huu amesema haoni akirefusha mkataba na klabu hiyo huku tetesi zikisema kwamba huenda

WANYAMA ANALENGA KUACHANA NA MONTREAL MWISHONI MWA MSIMU HUU Read More »