Michezo

LIVERPOOL YAITANDIKA RANGERS KATIKA DIMBA LA ANFIELD KUNAKO UEFA

Klabu ya Liverpool inayoongozwa na mkufunzi Jergen Klopp imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya klabu ya Rangers kutoka Scotland katika mtanange wa klabu bingwa Ulaya mchezo uliopigwa katika dimba la Anfield. Kikosi hicho kimekuwa na wakati mgumu msimu huu kupata matokeo hasa kwenye Ligi Kuu nchini Uingereza lakini waliweza kuibana Rangers na […]

LIVERPOOL YAITANDIKA RANGERS KATIKA DIMBA LA ANFIELD KUNAKO UEFA Read More »

WANARIADHA SABA PAMOJA NA OMANYALA WAPEWA UFADHILI

Bingwa wa mbio za Mita 100 Afrika Ferdinand Omanyala ameteuliwa kati ya wanufaikaji wa udhamini wa kamati ya olimpiki ya barani Afrika. Ufadhili huo ulizawadiwa wanriadha saba unalenga kuwasaidia wanariadha hao kuimarika wanpijitayarisha kwa mashindano ya Olimpiki ya 2024 yanyotarjiwa kufanyika jijini Paris Ufaransa. Omanyala ambaye pia mwaka huu alijishindia medali ya dhahabu katika mashindano

WANARIADHA SABA PAMOJA NA OMANYALA WAPEWA UFADHILI Read More »

STRAIKA WA TRANS NZOIA FALCON VIOLET NANJALA AIBUKIA MOROCCO

Violet Nanjala malkia wa soka aliyekuwa anakipiga kunako klabu ya Trans Nzoia Falcon inayochezea ligi Kuu ya wanawake nchini Kenya amesaidi dili la uhamisho wa Kudumu kuelekea klabu yake mpya ya AMFF Laayoune inayochezea ligi ya daraja la kwanza katika taifa la Morocco. Violet Nanjala Straika tegemezi kwenye kikosi kinachoongozwa na Justin Oriking anaondoka klabuni

STRAIKA WA TRANS NZOIA FALCON VIOLET NANJALA AIBUKIA MOROCCO Read More »