ITALIA NA BRAZIL KUTANDIKANA KWENYE SEMI FAINALI ZA MPIRA WA WAVU
Mechi ya pili ya semi fainali za mashindano ya mpira wa wavu itakuwa inarindimwa hii leo katika taifa la Uholanzi majira ya saa mbili usiku. Ni mechi ambayo itakuwa inawakutanisha malkia wa brazil dhidi ya Italia ambapo mshindi kati yao atakuwa anakutana na Serbia katika fainali. Ikumbukwe Kenya ambayo ilikuwa inashiriki mashindano hayo ilitolewa katika […]
ITALIA NA BRAZIL KUTANDIKANA KWENYE SEMI FAINALI ZA MPIRA WA WAVU Read More »



