Michezo

KOCHA WA MALKIA STRIKERS AMPENDEKEZEA NAIBU SPIKA MSWADA WA KULINDA WACHEZAJI

Kocha mkuu wa kikosi cha kinadada Malkia Strikers mwite Paul Bitok hapo jana alifanya mazungumzo na naibu spika wa bunge la kitaifa Gladys Sholei, mazungumzo yaliyolenga kupeleka misuada bungeni ya kulinda wachezaji wanaotumikia taifa hili na kuletea mafainikio mengi kuanza kulipwa malipo ya uzeeni wachezaji hao wanapo staafu. Mkutano huo unafanyika baada ya Paul Bitok […]

KOCHA WA MALKIA STRIKERS AMPENDEKEZEA NAIBU SPIKA MSWADA WA KULINDA WACHEZAJI Read More »

WADAU WA SOKA NA FKF WAKOSA KUELEWANA MAGHARINI

Viongozi wa soka la mashinani katika eneo bunge la magharini kaunti ya kilifi wameonya vikali vilabu vilivyosajiliwa na shirikisho la soka la fkf kujishirikisha katika mashindano ya kiholela bila idhini kutoka ofisi zao. Viongozi hao wamehoji kwamba mashindano hayo yanaharibu soka la mashinnani kwa kufanyika bila mipangilio mizuri ambayo inaonekana kupelekea kudunisha soka la mashinani.

WADAU WA SOKA NA FKF WAKOSA KUELEWANA MAGHARINI Read More »