Michezo

MUUNGANO WA RAGA KRU WALALAMA UKATA WA FEDHA

Mkurugenzi mkuu wa mungano wa raga nchini Aggrey Wabulwenyi anasema muungano huo unakumbwa na changamoto ya kifedha kutokana na kutopata hela za kutosha kutoka kwa serikali kuu kufadhili masuala ya raga nchini. Akizungumza na kituo kimoja cha habari hapo jana, Wabulwenyi alisema jana la virusi vya Covid 19 liliwaathiri pakubwa ikizingatiwa kwamba wawekezaji pamoja na […]

MUUNGANO WA RAGA KRU WALALAMA UKATA WA FEDHA Read More »

SAUDI ARABIA NI SIKUKUU BAADA YA KUISHINDA ARGENTINA 2-1, GIROUD KUFIKIRIA REKODI YA HENRY

Leo ni siku kuu katika taifa la Saudia Arabia kufuatia tangazo la jana la mfalme wa taifa hilo Salman kusema wananchi wanapasa kusherehekea ushindi wa timu yao ya taifa walipoichana timu ya taifa ya Argentina katika mechi yao ya ufunguzi kwenye mashindano yanayoendelea katika taifa la Qatar. Saudi Arabia iliitandika Argentina kichapo cha mabao 2-1

SAUDI ARABIA NI SIKUKUU BAADA YA KUISHINDA ARGENTINA 2-1, GIROUD KUFIKIRIA REKODI YA HENRY Read More »