Michezo

MATAIFA MATANO YAFUZU HATUA YA 16 BORA KWENYE KOMBE LA DUNIA

Mashindano ya kombe la dunia kule Qatar sasa yamefikia katika hatua za mwisho mwisho katika hatua za makundi na kufikia sasa ni mataifa matano yamejihakikishia nafasi yao katika hatua ya 16. Ufaransa ambao ni mabingwa watetezi washafuzu katika 16 sawa na Samba Boys ambao ni timu ya taifa ya Brazil waliojihakikishia nafasi yao baada ya

MATAIFA MATANO YAFUZU HATUA YA 16 BORA KWENYE KOMBE LA DUNIA Read More »

ANGELLA OKUTOYI KUSHINDANISHWA NA MABINGWA WA RIADHA

Kinda wa kimataifa katika mchezo wa tenisi mwite Angella Okutoyi ameorodheswa kati ya wanariadha watakao ngangania taji la mchezaji bora wa mwaka wa kenya, tuzo zitakazofanyika mwezi januari mwaka 2023. Hafla hiyo itafanyika katika kaunti ya Nairobi na makala ya mwaka huu yanahusisha pia kitengo cha wachezaji ambao bado ni wanafunzi baada ya kitengo hicho

ANGELLA OKUTOYI KUSHINDANISHWA NA MABINGWA WA RIADHA Read More »