Michezo

MALINDI PROGRESIVE YALENGA KUTAFUTA HAKI BAADA YA KUPOKONYWA ALAMA

Klabu ya Malindi Progressive kutoka Malindi, klabu inayocheza ligi ya daraja la kwanza kitaifa yalenga kuanza mchakato wa kutafuta haki baada ya wasimamizi wa mechi yao jana kuisitisha na kupeana alama tatu na mabao mawili kwa wageni Balaji Epz. Kulingana na taarifa zilizofikia Tama La Spoti ni kwamba mechi hiyo ilisimamishwa na wenyeji Progressive kuadhibiwa […]

MALINDI PROGRESIVE YALENGA KUTAFUTA HAKI BAADA YA KUPOKONYWA ALAMA Read More »

ARSENAL WAPEANA NAFASI YA KWANZA KWA MABINGWA WATETEZI MANCHESTER CITY

Kwenye ligi kuu nchini uingereza sasa kumekucha baada ya klabu ya Arsenal kubimbindwa na mabingwa watetezi Manchester City katika dimba la ugenini Etihad kipigo cha mabao 3-1. Mabao ya Manchester City yamefungwa na kiungo Kevin De Bruyne, Jack Grealish lakini pia mshambuliaji raia wa Norwey Erling Braut Halaand akashindilia ushindi huo katika dakika za lala

ARSENAL WAPEANA NAFASI YA KWANZA KWA MABINGWA WATETEZI MANCHESTER CITY Read More »