SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUANZISHA MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP
Wizara ya michezo na jinsi katika kaunti ya Kilifi inalenga kuanzisha mashindano ya Governors Cup mwaka huu katika lengo la kusaidia na kuinua vipaji vya michezo kwa vijana katika kaunti hii. Akizungumza na tama la spoti asubui ya leo Ruth Dama masha ambaye ni waziri wa michezo katika kaunti ya kilifi anasema mashindano hayo yanalenga […]
SERIKALI YA KILIFI YALENGA KUANZISHA MASHINDANO YA GOVERNOR’S CUP Read More »



