Michezo

KLABU YA GUSII UNITED YAPEWA ALAMA KISA WENYEJI WAKOSA KUWEKA MAZINGIRA SALAMA

Klabu ya Gusii United ndio klabu ya hivi punde zaidi kupewa alama tatu na mabao mawili katika mechi ya National Super League baada ya kuwasilisha gari la ambulensi lililokosa vifaa vya kutosha kuweka mazingira kamili ya kiafya kwa wachezaji. Haya yanajiri siku chache baada ya tukio kama hilo kutokea kwa klabu ya daraja la kwanza […]

KLABU YA GUSII UNITED YAPEWA ALAMA KISA WENYEJI WAKOSA KUWEKA MAZINGIRA SALAMA Read More »

WITO WA KUIMARISHA MICHEZO WATOLEWA NA VIONGOZI

Wito umetolewa kwa viongozi mbalimbali wa pwani kutoa ufadhili wa michezo katika vilabu vingi vya mashinani ambavyo vinapitia kipindi kigumu kifedha kwa sasa. Mwenye kiti wa shirikisho la soka katika kaunti ya Kilifi Dickson ANgore anasema kwamba ipo haja ya michezo kupewa kipaumbele ili kusaidia wachezaji wengi kuepuka matumizi ya mihadarati pamoja na kujihusisha na

WITO WA KUIMARISHA MICHEZO WATOLEWA NA VIONGOZI Read More »

WITO WA KUWEPO KWA MABARAZA YA SOKA WATOLEWA

Wito umetolewa kwa viongozi wa michezo katika kaunti za pwani kuungana na kushinikiza wanasiasa waliochaguliwa ili kutimiza ahadi zao. Ferdinand Mwambire ambaye ni mkufunzi wa soka katika kaunti ya kilifi anasema ni wakati sasa viongozi wa soka katika mkoa mzima wa pwani kuja pamoja na kuanzisha mikakati ya kushinikiza viongozi walioko mahakamani kutimiza ahadi nyingi

WITO WA KUWEPO KWA MABARAZA YA SOKA WATOLEWA Read More »