MSHINDI WA FKF CUP KUPATA MILIONI 4
Mashindano ya FKF Cup yamepata udhamini baada ya kusainiwa kwa dili la milioni 60 kutoka kwa kampuni ya ubashiri ya Mozzzert Bet. Shirikisho la soka nchini FKF jana lilisaini mkataba huo wa miaka mitatu ambao unalenga kusimamia masualaya usafiri, upeperushaji wa matangazo ya moja kwa moja pamoja na uchapishaji wa chapa zitakazosaidia mauzo ya mashindano […]
MSHINDI WA FKF CUP KUPATA MILIONI 4 Read More »



