WITO UMETOLEWA KWA TALANTA ZA MASHINANI KUTAMBULIWA
Wito umetolewa kwa viongozi wa michezo kuingia mashinani zaidi kutambua na kukuza talanta za vijana katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi. Akizungumza na Tama la Spoti baada ya mashindano ya soka yaliyokuwa yanatumika kuzindua mradi wa kusambaza injili na shirika la Youth For Christ Kenya mjini marafa katika uwanja wa Polytechnic, mkurugenzi mkuu […]
WITO UMETOLEWA KWA TALANTA ZA MASHINANI KUTAMBULIWA Read More »



