Michezo

MUUNGANO WA RAGA WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPYA

Muungano wa raga nchini Kenya umefanya uchaguzi wa viongozi wapya usiku wa kuamkia leo na Ian Mugambi amechaguliwa kama katibu mkuu wa muungano huo aliposhinda kura 18 mbele ya mpinzani wake wa karibu Raymond Olendo aliyepata kura 13. Moses Ndale ameibuka mshindi wa wadhifa wa naibu mwenye kiti kwa kupata kura 20 mbele ya Peris …

MUUNGANO WA RAGA WAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPYA Read More »

MABINGWA WATETEZI VIHIGA QUEENS WASAJILI WACHEZAJI KULINDA UBINGWA

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya FKF ya kinadada nchini Kenya Vihiga Queens sasa watategemea sajili zao mpya msimu ujao katika harakati ya kutetea ubingwa wao. Vihiga Queens waliomaliza msimu uliopita bila kupioteza mechi hata moja wamesajili wachezaji sita watakaowasaidia akiwemo Ivy Makhoha kutoka Bunyore Starlets, Eunice Musila wa shule ya upili ya kinadada ya …

MABINGWA WATETEZI VIHIGA QUEENS WASAJILI WACHEZAJI KULINDA UBINGWA Read More »

GRAHAM POTTER AKUBALI KUWA MKUFUNZI MPYA WA CHELSEA

Mkufunzi wa klabu ya Brighton inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza Graham Potter amekubali kuwa mkufunzi mpya wa klabu ya Chelsea baada ya kufutwa kazi kwa mkufunzi wa klabu hiyo Thomas Tuchel kutokana na matokeo mabay tangia kuanza kwa msimu huu. Wamiliki wa klabu hiyo ya darajani Stamford bridge tayari wanaripotiwa kufanya mazungumzo na mkufunzi huyo …

GRAHAM POTTER AKUBALI KUWA MKUFUNZI MPYA WA CHELSEA Read More »