Michezo

OMAX FC YAZIDI KUSELELEA KILELENI, FRUNZI IKIWA HATARINI

Vijana wa mkufunzi Juma Kalato Omax Fc wanazidi kuselelea kileleni mwa ligi ya Fkf katika daraja la pili baada ya jana kusajili ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Sparki katika Dimba la ugenini. Mechi nyingine ilochezwa jana ni ile ya Simba Apparel dhidi ya Kishada fc. Kishada katika uwanja wao wa nyumbani walionyesha ubabe kwa […]

OMAX FC YAZIDI KUSELELEA KILELENI, FRUNZI IKIWA HATARINI Read More »

WAZAZI NA WALIMU WAHIMIZWA KUPIGA JEKI TALANTA ZA WATOTO WAO

Wito umetolewa kwa wazazi kuwahimiza watoto wao kuzingatia ukuzaji wa Talanta zao kama njia moja ya ufanisi wa maisha yao ya baadaye. Akizungumza na Tama La spoti Bwana Mcdonald Mzungu ambaye ni katibu mkuu wa michezo ya shule za upili katika gatuzi la Kilifi ameshauri wazazi na walimu kuwahimiza wanao kuzingatia michezo ambayo pia ni

WAZAZI NA WALIMU WAHIMIZWA KUPIGA JEKI TALANTA ZA WATOTO WAO Read More »

DOUGLAS MUTUA APEWA KAZI YA UKOCHA NA BANDARI FC

Kiungo wa zamani wa timu ya taifa Haramber stars Douglas Mutua amesajiliwa rasmi kuwa mkufunzi mpya wa klabu ya Bandari fc yenye makazi yake Mbaraki Sports club Mombasa. Mutua sasa atakuwa anachukua mikoba ya uongozi wa klabu hiyo ya Mombasa kutoka kwa Muhiddin aliyekuwa anashikilia kwa muda. Wakati uo huo mkufunzi wa zamani wa Sofapaka

DOUGLAS MUTUA APEWA KAZI YA UKOCHA NA BANDARI FC Read More »