TONNY NGALA

NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA TAIFA LA MOZAMBIQUE.

Naibu rais Kithure Kindiki ameondoka humu nchini mapema leo kwenda nchini Mozambique hudhuria kuapishwa kwa rais mteule nchini humo Daniel Francisco Chapo. Naibu wa rais Kindiki anatarajiwa kuwakilisha taifa la Kenya katika hafla hiyo hatua ambayo pia itasaidia kujenga uhusiano wa taifa hili la mataifa mengine ya Afrika. Chapo ameshinda kiti hicho kwa asilimia 65 […]

NAIBU WA RAIS PROFESA KITHURE KINDIKI AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE WA TAIFA LA MOZAMBIQUE. Read More »

WAZIRI MUTURI AKABILIWA NA TISHIO LA KUBANDULIWA MAMLAKANI NA VIONGOZI WA BUNGE LA KITAIFA.

Baadhi ya wandani wa rais Willima Ruto sasa wanatishia kuwasilisha hoja ya kumbandua waziri wa Utumishi wa Umma Justine Muturi mamlakani kutokana na hatua yake kukashifu suala la utekajinyara linalo endelezwa na maafisa wa polisi nchini. Wakiongozwa na mbunge wa Mugirango Kusini kaunti ya Kisii Silvanus Osoro amesema kuwa waziri Muturi hakupaswa kutoa kauli kuhusiana

WAZIRI MUTURI AKABILIWA NA TISHIO LA KUBANDULIWA MAMLAKANI NA VIONGOZI WA BUNGE LA KITAIFA. Read More »

MBUNGE WA KILIFI KASKAZINI OWEN YAA BAYA ATOA WITO KWA WAZAZI KUSHIRIKIANA NA WALIMU KAUNTI YA KILIFI.

Wazazi kaunti ya Kilifi wametakiwa kushirikiana na walimu ili kuhakikisha kuwa wanao wanafanikiwa kwenye masuala ya elimu. Ni wito ambao umetolewa na Mbunge wa Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi Owen Yaa Baya, ambaye amesema kuwa mafanikio ya wanafunzi hutegemea pakubwa jinsi ambavyo, wazazi huunga mkono utendakazi wa walimu shuleni. Owen vile vile amewataka wazazi kufuatilia

MBUNGE WA KILIFI KASKAZINI OWEN YAA BAYA ATOA WITO KWA WAZAZI KUSHIRIKIANA NA WALIMU KAUNTI YA KILIFI. Read More »