SERIKALI YA KITAIFA YATAKIWA KUTATUA CHANGAMOTO ZA USAFIRI NA UMILIKI WA ARDHI KAUNTI YA TAITA TAVETA.
Mbunge wa Taveta kaunti ya Taita Taveta, John Bwire ametoa wito kwa serikali ya kitaifa kutatua changamoto ya usafiri na utata wa umiliki wa ardhi eneo bunge hilo. Kulingana na kiongozi huyo, kuna haja ya serikali ya kitaifa kuweka lami barabara Taveta – Njukini, ili kuwanusuru wananchi wa eneo hilo changamoto za usafiri, zinazo shuhudiwa […]



