WAHANDISI NCHINI KENYA WATAKIWA KUJISAJILI KWA MAMLAKA YA UJENZI NCA.
Wito umetolewa kwa wahandisi wote nchini kujisajili upya katika mamlaka ya ujenzi nchini NCA (National Contruction Authority), ili kupata muongozo hitajika wa ujenzi katika taifa hili. Kwa mujibu wa waziri wa ardhi na ujenzi nchini Alice Wahome, mamlaka hiyo sasa imezundua rasmi kanuni hutajika, katika shughuli za ujenzi na kila mhandisi, anapaswa kufuatilia muongozo huo, […]
WAHANDISI NCHINI KENYA WATAKIWA KUJISAJILI KWA MAMLAKA YA UJENZI NCA. Read More »



