EACC YAWATIA NGUVUNI MAAFISA WANANE WA SERIKALI YA KAUNTI YA TANA RIVER KWA MADAI YA KUSHIRIKI UFISADI.
Maafisa wanane wa serikali ya kaunti ya Tana River wametiwa nguvuni na maafisa wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi nchini EACC kwa madai ya kushiriki kwenye ufisadi wa shilingi milioni 9. Akithibitisha hilo afisa wa mawasiliano katika tume hiyo Eric Ngumbi, amesema kuwa wanane hao ni kali ya washukiwa 14 ambao wanadaiwa kutoa […]



