RAIS WILLIAM RUTO ASISITIZA HAJA YA UMOJA KATI YA VIONGOZI WA KISIASA.
Rais William Ruto amewahakikishia wakenya kuwa ana nia ya kuwaunganisha viongozi na wakenya wote, kutoka matabaka mbali mbali katika taifa hili. Kulingana na Rais Ruto, maendeleo ya taifa la Kenya hayawezi kuafikiwa iwapo, kutakuwa na tofauti za kikabila ama hata mirengo ya kisiasa kati ya wananchi. Akizungumza katika eneo la Dagoreti kaunti ya Nairobi hapo […]
RAIS WILLIAM RUTO ASISITIZA HAJA YA UMOJA KATI YA VIONGOZI WA KISIASA. Read More »



