TONNY NGALA

HOSPITALI ZA KIBINAFSI NCHINI ZIMEONYWA DHIDI YA KUSUSIA UTUMIZI WA SHA.

Wizara ya afya nchini imewaonya wamiliki wa hospitali za kibinafsi dhidi ya kutotoa huduma za matibabu kwa wananchi, wanaotumia bima ya mamlaka ya SHA. Katibu wa huduma za matibabu kwenye wizara hiyo Harry Kimutai, amesema kuwa serikali bado imeshikilia msimamo wake, wa kulipa madeni bima ya awali ya NHIF kwa hospitali hizo. Kimtai aidha ametishia […]

HOSPITALI ZA KIBINAFSI NCHINI ZIMEONYWA DHIDI YA KUSUSIA UTUMIZI WA SHA. Read More »

WAHANDISI NCHINI KENYA WAPINGA SUALA LA SOMO LA HISABATI KUWA LA HIARI KWA WANAFUNZI WA MTAALA CBC NCHINI KENYA.

Taasisi ya Wahandisi nchini IEK (Institution of Engineers of Kenya), imepinga hatua ya Wizara ya Elimu, kutaka somo la hisabati kuwa la hiari kwa wanafunzi. Taasisi hiyo ya wahandisi IEK, imesema kuwa Hisabati ni somo muhimu, ambapo kila mwanafunzi, wanapaswa kulazimishwa kulifanya kama ilivyo kwa sasa. Katika taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na Rais

WAHANDISI NCHINI KENYA WAPINGA SUALA LA SOMO LA HISABATI KUWA LA HIARI KWA WANAFUNZI WA MTAALA CBC NCHINI KENYA. Read More »

WAWAKILISHI WADI KAUNTI YA KILIFI WAJITENGA NA SUALA LA KUTOKAMILIKA MASHINANI.

Jamii kaunti ya Kilifi imeonywa dhidi ya kuwalaumu viongozi wa kisiasa, kutokana na kucheleweshwa kwa miradi ya maendeleo mashinani. Haya ni kwa mujibu wa mwakilishi wadi ya Mnarani kaunti ya Kilifi, Juma Chengo ambaye amesema kuwa hatua hiyo, inatokana na kucheleweshwa kwa magao wa fedha za serikali ya kaunti na wala sio wawakilishi wadi. Juma

WAWAKILISHI WADI KAUNTI YA KILIFI WAJITENGA NA SUALA LA KUTOKAMILIKA MASHINANI. Read More »