TONNY NGALA

WIZARA YA USALAMA WA NDANI YA DHIBITISHA KUTUPILIWA MBALI KWA MALIPO YA WAKENYA KUPATA VITAMBULISHO.

Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, amedhibitisha kutupiliwa mbali kwa ada za wakenya waliofikisha umri wa kupewa vitambulisho vya kitaifa. Waziri Murkomen amesema kuwa wizara yake imeanza kutekeleza agizo hilo lililotolewa na rais William Ruto alipokuwa kwenye ziara yake katika kaunti ya Nairoibi wiki iliyopita. Awali wakenya ambao wanatuma maombi ya kupata vitambulisho vya […]

WIZARA YA USALAMA WA NDANI YA DHIBITISHA KUTUPILIWA MBALI KWA MALIPO YA WAKENYA KUPATA VITAMBULISHO. Read More »

ZAIDI YA WAKENYA ELFU MOJA WAMEFUNGWA KATIKA MATAIFA YA NG’AMBO.

Wizara ya mambo ya kigeni nchini imebaini kuwa ziadi ya wakenya elfu moja wamefungwa katika mataifa mbali mbali Ng’’ambo na Ughaibuni kufutia ukiukaji wa sheria za mataifa hayo. Akitoa taarifa hiyo, waziri wa mambo ya kigeni ambaye pia ni mkuu wa maziri nchini Musalia Mudavadi, amewaonya wakenya wanao safiri mataifa hayo dhidi ya kutozingatia sheria

ZAIDI YA WAKENYA ELFU MOJA WAMEFUNGWA KATIKA MATAIFA YA NG’AMBO. Read More »