TONNY NGALA

VIJANA KAUNTI YA TAITA TAVETA WAONYWA DHIDI YA UTUMIZI WA POMBE NA MIHADARARATI.

Wito umetolewa kwa vijana wa kaunti ya Taita Taveta kusitisha utumizi wa mihadarati katika maeneo yao mashinani. Kulingana na gavana wa kaunti hiyo Andrew Mwadime, idadi kubwa ya vijana katika kaunti hiyo wameendelea kuathirika kiafya kutokana na utumizi wa mihadarati kupita kiasi. Akihutubua umma katika kaunti hiyo Mwadime amewataka kutobugia pombe mwaka huu wa 2025 […]

VIJANA KAUNTI YA TAITA TAVETA WAONYWA DHIDI YA UTUMIZI WA POMBE NA MIHADARARATI. Read More »

JAMII YA WAKISII YAANZA KAMPENI ZA KUMUUNGA MKONO DKT FRED MATIANG’I KUWANIA URAIS MWAKA 2027.

BAADHI ya wazee kutoka Kaunti ya Kisii wamejitokeza kutangaza kuwa wanaunga mkono azma ya aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Dkt Fred Matiang’i kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao. Wazee hao, aidha wamedokeza kuwa Dkt Matiang’i atarejea humu nchini hivi karibuni kubuni mikakati zaidi ya kufaulisha azma yake inayolenga kumng’atua mamlakani Rais William Ruto na

JAMII YA WAKISII YAANZA KAMPENI ZA KUMUUNGA MKONO DKT FRED MATIANG’I KUWANIA URAIS MWAKA 2027. Read More »