TONNY NGALA

WANAFUNZI WA CHUO CHA BANDARI KAUNTI YA MOMBASA WAANDAMANA.

Wanafunzi wa chuo cha mafunzo ya masuala ya ubaharia kaunti ya Mombasa, wamefanya maandamano kupinga utendakazi duni wa usimamizi wa shule hiyo. Kulingana na wanafunzi hao, baadhi ya wahadhiri katika taasisi hiyo wamekuwa wakisusia shughuli za kuwafunza kwa madai ya kutolipwa mishahara hao. Wakiongozwa na Dancan Odongo na Salim Tsuma, wamesema kuwa watakuwa wakiandamana kila […]

WANAFUNZI WA CHUO CHA BANDARI KAUNTI YA MOMBASA WAANDAMANA. Read More »

ALIYEKUWA GAVANA WA KAUNTI YA MERU KAWIRA MWANGAZA AONA GIZA HUKU NAIBU WAKE ISAAC MUTUMA AKICHUKUA NAFASI YAKE RASMI.

Siku chache baada ya mahakama kutangaza kuwa bunge la seneti lilifuata utaratibu hitajika, katika mchakato wa kumbandua aliyekuwa gavana wa Meru, Kawira Mwangaza aliyekuwa naibu wake Isaac Mutuma sasa ameapishwa rasmi. Akizungumza mda mfupi baada ya kuapishwa, gavana Mutuma ameahidi kushirikiana na viongozi pamoja na wananchi wa matabaka mbali mbali katika kufanikisha shughuli za maendeleo

ALIYEKUWA GAVANA WA KAUNTI YA MERU KAWIRA MWANGAZA AONA GIZA HUKU NAIBU WAKE ISAAC MUTUMA AKICHUKUA NAFASI YAKE RASMI. Read More »

WAZIRI ADEN DUALE NA ALI HASSAN JOHO WAPONGEZA HATUA YA KUONDOLEWA KWA MSASA KWA WAKENYA WA KAUNTI ZA KASKAZINI MASHARIKI MWA KENYA.

Waziri wa mazingira, Aden Duale na mwenzake wa madini na uchumi wa bahari na maziwa nchini Ali Hassan Joho, wamepongeza hatua ya rais William Ruto kuondoa sheria ya wakenya wa eneo la Kaskazini Mashariki mwa taifa hili kupigwa msasa wanapotafuta vitambulisho vya kitaifa. Viongozi hao Aidha wamewasuta baadhi ya wale wanaopinga hatua hiyo huku wakitoa

WAZIRI ADEN DUALE NA ALI HASSAN JOHO WAPONGEZA HATUA YA KUONDOLEWA KWA MSASA KWA WAKENYA WA KAUNTI ZA KASKAZINI MASHARIKI MWA KENYA. Read More »