VIJANA TISA WANAO KISIWA KUWA WAHALIFU WAKAMATWA NA MAAFISA WA POLISI KAUNTI YA KWALE.
Maafisa wa polisi eneo Diani kaunti ya Kwale, wamefanikiwa kuwakamata washukiwa 9 wa uhalifu, wanaowahangaisha wenyeji kwa kuwakata mapanga na kuwapora mali zao katika maeneo ya Diani na Ukunda kaunti hiyo. Tisa hao waliokuwa wamejihami kwa silaha, wametiwa mbaroni usiku wa kuamkia leo, katika maeneo tofauti huko Diani, nakufikisha idadi ya wahalifu waliokamatawa tangu oparesheni hiyo ilipoanza […]
VIJANA TISA WANAO KISIWA KUWA WAHALIFU WAKAMATWA NA MAAFISA WA POLISI KAUNTI YA KWALE. Read More »



