TONNY NGALA

‘MLIMA UNAWENYEWE’ ASEMA GAVANA WA KAUNTI YA NYERI MUTAHI KAHIGA.

Huku rais William Ruto akiendeleza ziara yake katika eneo la Mlima Kenya, viongozi wa eneo hilo wamemtaka kiongozi huyo wa taifa, kufahamu kuwa sio kiongozi mkuu wa siasa za eneo hilo, la Mlima. Wakiongozwa na gavana wa kaunti ya Nyeri, Mutahi Kahiga amesema hatua ya Ruto kuwa kiongozi wa taifa na kuanzisha miradi eneo hilo, […]

‘MLIMA UNAWENYEWE’ ASEMA GAVANA WA KAUNTI YA NYERI MUTAHI KAHIGA. Read More »

SERIKALI YASEMA AFISA WA POLISI ALIYETOWEKA NCHINI HAITI BADO HAJAPATIKANA.

Serikali ingali inamsaka afisa wa polisi raia wa Kenya, aliyetoweka nchini Haiti, baada ya shambulizi lililotekelezwa na wahalifu wa nchi hiyo, dhidi ya maafisa wa Kenya, wanaoendeleza oparesheni ya usalama nchini humo. Inspekta generali wa polisi Douglas Kanja, anasema kufikia sasa bado afisa huyo hajulikani aliko, licha ya taarifa ya kuhusiana na kifo chake kusambaa

SERIKALI YASEMA AFISA WA POLISI ALIYETOWEKA NCHINI HAITI BADO HAJAPATIKANA. Read More »

VIONGOZI WA UPINZANI HAPA NCHINI WAKOSOA ZOEZI LA KUWAPIGA MSASA MAKAMISHNA WA IEBC.

Viongozi wanaopinga serikali ya Rais William Ruto wamekashifu vikali jinsi ambavyo zoezi la kuwapiga msasa makamishana wa tume ya IEBC limekuwa likiendelezwa. Wakiongozwa na kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, wamesema kuwa viongozi wa kisiasa katika mrengo wa upinzani, wanapaswa kuhusishwa kiukamilifu katika zoezi hilo. Wakizungumza katika kikao na waandishi wa habari, wamesema kamwe

VIONGOZI WA UPINZANI HAPA NCHINI WAKOSOA ZOEZI LA KUWAPIGA MSASA MAKAMISHNA WA IEBC. Read More »