WAZIRI ADEN DUALE AKABIDHIWA RASMI WIZARA YA AFYA.
Waziri mpya wa afya Aden Duale, ameahidi kukabiliana na walaghai katika wizara hiyo na kuboresha huduma za afya kwa wakenya wote. Duale ambaye amekabidhiwa rasmi afisi hiyo na mtangulizi wake Dktri Debora Barassa, amesema kuwa sharti wakenya wapate huduma bora kwenye taasisi za afya humu nchini. Akizungumza katika hafla hiyo, wakati wahudumu wa afya UHC […]
WAZIRI ADEN DUALE AKABIDHIWA RASMI WIZARA YA AFYA. Read More »



