TONNY NGALA

WAZAZI WALAUMIWA KWA KUTELEKEZA MAJUKUMU YAO YA ULEZI.

Gavana wa kaunti ya Mombasa, Abdulswamaad Shariff Nassir amewaonywa vijana dhidi ya kusingizia ukosefu wa ajira, kuwa chama cha wao kujihusisha na uhalifu kwenye jamii. Kulingana na gavana huyo, vijana wote wanao jihusisha na masuala ya uhalifu, wanapaswa kuwa wakiendeleza masomo na hivyo kusema kuwa huenda ikawa baadhi ya wazazi, wamelegea katika kufanikisha wajibu wao […]

WAZAZI WALAUMIWA KWA KUTELEKEZA MAJUKUMU YAO YA ULEZI. Read More »

MWANASHERIA MKUU DORCUS ODUOR NA KATIBU RAYMOND OMOLLO WAKIUKA AGIZO LA MAHAKAMA.

wanasheria mkuu Dorcas Oduor na katibu wa idara ya usalama wa taifa Raymond Omollo, wametakiwa kufika mbele ya Mahakama Kuu, baada ya uamuzi kugundua kuwa walikiuka amri ya mahakama. Katika uamuzi wake wa Ijumaa, Jaji John Chigiti alisema kwamba Oduor na Omollo, wanalaumiwa kwa kushindwa kutii amri ya mahakama iliyotolewa tarehe 26 Aprili, 2024. Kesi

MWANASHERIA MKUU DORCUS ODUOR NA KATIBU RAYMOND OMOLLO WAKIUKA AGIZO LA MAHAKAMA. Read More »