TONNY NGALA

GACHANGWA AMLAUMU RAIS WILLIAM RUTO KWA MADAI YA KUTUMIA VIJANA VIBAYA.

Aliyekuwa naibu wa Rais Rigathi Gachagwa amemkashifu rais William Ruto kwa madai ya kutumia vijana, kutatiza mikutano yake ya kisiasa. Kwa mujibu wa Gachagwa, amekuwa akishuhudia makabiliono kati ya maafisa wake binafsi wa usalama na vijana ambao wamekuwa wakivamia mikutano yake, jambo ambalo ametaja kutoka kuwa sawa. Akizungumza katika kanisa la PCEA Kasarani kaunti ya

GACHANGWA AMLAUMU RAIS WILLIAM RUTO KWA MADAI YA KUTUMIA VIJANA VIBAYA. Read More »

WANDANI WA RAIS WAPONGEZA IDADI KUBWA YA WAKAAZI WA MLIMA KENYA KWA KUJITOKEZA KWENYE ZIARA YA RAIS WILLAM RUTO.

Wandani wa rais William Ruto wamejitokeza kupongeza hatua ya wakenya wengi zaidi kujitokeza kwenye mikutano ya rais William Ruto, katika eneo la Mlima Kenya. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi kwenye bunge la Seneti, Aaron Cheriyot amemkashifu aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagwa, kwa madai ya kushawishi wananchi wa eneo hilo, kutojitokeza kwenye mikutano hiyo. Kauli

WANDANI WA RAIS WAPONGEZA IDADI KUBWA YA WAKAAZI WA MLIMA KENYA KWA KUJITOKEZA KWENYE ZIARA YA RAIS WILLAM RUTO. Read More »