TONNY NGALA

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YASEMA ITALIPA MADENI YAKE KWA WATUMISHI WA UMMA.

Serikali ya kaunti ya Kilifi kwa mara nyingine imeahidi kulipa marupurupu ya wafanyakazi wake kaunti hii. Katika kikao na waandishi wa habari, kaimu katibu wa serikali ya kaunti ya Kilifi, Catherine Kenga amedhibitisha kuchelewashwa kwa malipo hayo na kusema kuwa serikali ya kaunti hii, imeweka mikakati ya kulipa fedha hizo. Catherine amesema kuwa tayari fedha […]

SERIKALI YA KAUNTI YA KILIFI YASEMA ITALIPA MADENI YAKE KWA WATUMISHI WA UMMA. Read More »

WANASIASA WALAUMIWA KWA MADAI YA KUFADHILI MAGENGE YA UHALIFU.

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen, sasa anasema wanasiasa ndio wanaofadhili magenge ya wahalifu, yanayoendelea kuhangaisha wananchi wa kaunti za Pwani. Waziri Murkomen, ametishia kuwatia nguvuni wanasiasa wanaohusika na masuala ya kufadhili magenge ya kiuhalifu katika kaunti za Pwani na kitaifa. Akizungumza kwenye kikao na viongozi wa kaunti ya Mombasa, pamoja na wakuu wa idara ya

WANASIASA WALAUMIWA KWA MADAI YA KUFADHILI MAGENGE YA UHALIFU. Read More »

MAAFISA WALIOKUWA WAKIHUDUMU KWENYE WIZARA YA AFYA WAMTETEA GACHAGWA DHIDI YA SAKATA YA NETI ZA KEMSA.

Aliyekuwa waziri wa afya Susan Nakhumicha, amemwondolea lawama aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, kwenye sakata ya ununuzi wa vyandarua vya mbu, akisema gachagua hakuchochea kwa namna yoyote utoaji wa zabuni hiyo ya shilingi bilioni 3.7. Akizungumza alipofika mbele ya kamati ya bunge, ya masuala ya kigeni, ili kupigwa msasa kuhusu nafasi ya mwakilishi wa Kenya,

MAAFISA WALIOKUWA WAKIHUDUMU KWENYE WIZARA YA AFYA WAMTETEA GACHAGWA DHIDI YA SAKATA YA NETI ZA KEMSA. Read More »