TONNY NGALA

MASHURIKA YA KIJAMII YADAIWA KUTATIZA SHUGHULI ZA WIZARA YA MADINI NA UCHUMI WA BAHARI.

Waziri wa madini na uchumi wa bahari na maziwa nchini Ali Hassan Joho amenyooshea kidole cha lawama mashirika ya kijamii, kwa kutatiza shughuli za uchimbaji madini eneo bunge la Ganze hapa kaunti ya Kilifi. Kulingana na Joho, mashirika ya kijamii pia yamechangia kusimamishwa kwa shughuli za utekelezwaji wa miradi ya maendeleo, hasa katika wizara yake.

MASHURIKA YA KIJAMII YADAIWA KUTATIZA SHUGHULI ZA WIZARA YA MADINI NA UCHUMI WA BAHARI. Read More »

WANDANI WA ALIYEKUWA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGWA WADAI KUHANGAISHWA NA SERIKALI KUU.

Mbunge wa Githunguri kaunti ya Kiambu, Gathoni Wamuchomba, amedai kwamba maisha yake yako hatarini baada ya serikali kuu kumpokonya walinzi wake. Wamuchomba ambaye pia ni mwandani wa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, amesema analengwa kutokana na msimamo wake wa kisiasa. Akizungumza baada ya kuandikisha taarifa katika afisi za kitengo cha DCI, Wamuchomba amesema kuwa rais

WANDANI WA ALIYEKUWA NAIBU WA RAIS RIGATHI GACHAGWA WADAI KUHANGAISHWA NA SERIKALI KUU. Read More »