GAVANA WA KAUNTI YA KIAMBU APINGA MADAI YA KUSHIRIKI UFISADI.
Gavana wa kaunti ya Kiambu, Kimani Wamatangi amesema kuwa hatua yake kukamatwa na maafisa wa tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC ni njama ya kumhangaisha na kujumu siasa zake. Kulingana na gavana huyo, alipokea simu kutoka na mmoja wa wanasiasa wakuu katika taifa hili, ambaye aliahidi kumhangaisha iwapo hatakubaliana na matakwa yake. […]
GAVANA WA KAUNTI YA KIAMBU APINGA MADAI YA KUSHIRIKI UFISADI. Read More »



