WAKENYA WALAUMIWA KWA KUCHAPISHA TAARIFA MBAYA MITANDAONI KUHUSIANA NA KIFO CHA MBUNGE WA KASIPUL, ONG’ONDO WERE.
Spika wa Bunge la Kitaifa, Moses Wetang’ula, amekosoa hisia za umma kuhusu mauaji ya Mbunge wa Kasipul Charles Ong’ondo Were, akitaja baadhi ya taarifa zinazo chapishwa mitandaoni kuwa zisizo na moyo wa huruma. Wetangula amesema kuwa wakenya wengi kwa sasa wamekuwa wenye gadhabu na hata kukosa kutathmini kauli wanazo chapisha mitandaoni kutokana na kisa hicho […]



