TONNY NGALA

RAIS WILLIAM RUTO ASIFIA NDOA YAKE NA RAILA ODINGA.

Rais William Ruto amewaonya viongozi katika nafasi mbali mbali kwenye serikali yake, dhidi ya kuendeleza siasa na badala yake kufanya maendeleo. Kulingana Rais, kwa sasa ni wakati wa wananchi kufaidi matunda ya uchaguzi, kupitia kufanikishwa kwa miradi ya maendeleo mashinani. Akizungumza katika ziara yake kule kaunti ya Narok, rais amesisitiza haja ya wakenya, kuungana na […]

RAIS WILLIAM RUTO ASIFIA NDOA YAKE NA RAILA ODINGA. Read More »

WAFUASI WA KAWIRA MWANGAZA WAPATA MWANGA WA SIASA ZA KIONGOZI WAO.

Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Meru, Kawira Mwangaza amesema kuwa atazindua chama chake kitakacho mpatia fursa ya kuwania ugavana wa kaunti hiyo kwa mara nyingine. Kawira ambaye alibanduliwa mamlakani na bunge la kaunti ya Meru, amesema kuwa hatua yake kuwa mgombea huru, ni mojawapo sababu zake kukosa kupata utetezi dhidi ya mswada wa kumuondoa mamlakani

WAFUASI WA KAWIRA MWANGAZA WAPATA MWANGA WA SIASA ZA KIONGOZI WAO. Read More »

NANCY MACHARIA AKAMILISHA MDA MWAKE WA KUHUDUMU KATIKA WADHIFA WA MKURUGENZI WA TUME YA WALIMU TSC.

Tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC, imeanza mchakato wa kumtafuta afisa mkuu mtendaji mpya, atakayemrithi Nancy Macharia, ambaye muda wake wa kuhudumu unakaribia kukamilika. Macharia, ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza tume hiyo tangu ibuniwe, amekuwa amekuwa akihudumu katika wadhifa huo tangu mwaka 2015. TSC iweka tangazo rasmi la uteuzi wa mrithi wa Macharia na

NANCY MACHARIA AKAMILISHA MDA MWAKE WA KUHUDUMU KATIKA WADHIFA WA MKURUGENZI WA TUME YA WALIMU TSC. Read More »