TUNAOMBA UFADHILI – BEACH BAY
Mweka hazina wa klabu ya Beach Bay Clara Kadzo ameomba wahisani kufadhili klabu yake ili kuifanya klabu hiyo kuwa na mafanikio na kuandikisha historia ya kupanda daraja hadi daraja la kwanza kitaifa. Klabu hiyo imekuwa ikiyumba hasa katika msimu huu kutokana na ukata wa kifedha jambo ambalo limekuwa likifanya klabu hiyo kukosa kuheshimu ratiba mara […]
TUNAOMBA UFADHILI – BEACH BAY Read More »



