Paps Mkare

SHIMANZI FC NA ZIWANI YOUTH TUTAMBAMBANA KISHERIA – COLLINS OMOL

Meneja wa klabu ya Yanga FC Collins Omol klabu inayoshiriki ligi ya daraja la nne kitaifa  la fkf kutoka Malindi kaunti ya Kilifi amekanusha madai ya vilabu vya Shimanzi na Ziwani Youth kuwa mechi ambazo hawakucheza na Yanga watapewa alama za bwerere kwa sababu klabu hiyo ilishindwa kuheshimu ratiba. Kulinga na  Omol ambaye amezungumza na

SHIMANZI FC NA ZIWANI YOUTH TUTAMBAMBANA KISHERIA – COLLINS OMOL Read More »